Ruka hadi Yaliyomo

Baraza la Kitaifa lilipo kabla ya tarehe ya kutekelezwa kwa Katiba hii litaendelea kama Baraza Kuu la Kitaifa kwa minajili ya Katiba hii kwa muda uliosalia.