Serikali ya kaunti inaweza kukopa iwapo–(a) Serikali ya kitaifa itadhamini mkopo huo; na(b) baraza la serikali hiyo ya kaunti limeidhinisha.