Ruka hadi Yaliyomo

Afisa wa umma hataweza–

  • (a) kuonewa au kubaguliwa kwa kutekeleza majukumu ya kiafisi kwa mujibu wa Katiba hii au sheria nyingine yoyote; au
  • (b) kufutwa, kuondolewa afisini au kushushwa cheo au kuadhibiwa bila kufuata utaratibu wa sheria.
Msimbo wa QR unaounganisha kwenye https://blog.afro.co.ke/sw/katiba/sura-13/sehemu-2/kifungu-236/kuwalinda-wafanyakazi-wa-umma/