Ruka hadi Yaliyomo

Kifungu 263. Tarehe ya Kutekelezwa kwa Katiba

Katiba hii itaanza kutumika Rais atakapotangaza rasmi au baada ya muda wa siku kumi na nne tokea tarehe ya kuchapisha matokeo ya mwisho ya kura ya maamuzi kuidhinisha Katiba hii katika Gazeti rasmi la serikali, yoyote itakayokuja mwanzo kati ya hatua hizo mbili.