Ruka hadi Yaliyomo

Serikali itahakikisha uwezekano wa watu wote kufikia haki na malipo yoyote yakihitajika, yatakuwa ya kufaa na hayatazuia uwezekano wankutendewa haki.