Ruka hadi Yaliyomo
Bajeti

Ukusanyaji wa Mapato ya Kaunti ya Wajir

Data kuhusu ukusanyaji wa Mapato ya Ndani ya Kaunti ya Wajir nchini Kenya imeonyeshwa kwenye jedwali hapo chini.

Asilimia : (Mapato halisi ÷ Lengo la Mapato) x 100

Mwaka wa FedhaLengo la MapatoMapato HalisiAsilimia (%)
2023/2024150,000,000164,953,671110
2022/2023100,000,00046,746,10146.7
2021/2022100,000,00052,415,62552.4
2020/2021150,000,00073,955,72249.3
2019/2020150.0060.4240.3
2018/2019200,000,00060,123,11230.1
2017/2018150,000,00067,608,47545.1
2016/2017230,119,95075,908,72033
2015/2016150,000,00081,782,27554.5
2014/2015105,136,917107,742,634102.5%
2013/2014119,030,87361,032,93051.3%

Kumbuka: Takwimu za Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 ziko katika mamilioni ya shilingi za Kenya.